Month: April 2024
Hatua za dharura zaendelea kuchukuliwa na TANROADS Morogoro kurejesha miundombinu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro imewataka Wananchi wa Mkoa huo kuwa watulivi wakati Serikali ikiendelea kuchukuwa hatua za dharura kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibika katika kipindi hiki cha mvua kubwa…
Benchika abwaga manyanga Simba
Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Simba leo Aprili 28, 2024 imetangaza rasmi kuachana na kocha wake Mkuu, Abdelhak Benchika na wasaidizi wake wawili kwa makubaliano ya pande zote mbili. Benchika alijiunga na Simba mwezi Novemba mwaka jana, na…
Ngorongoro yakusanya zaidi ya bil. 170/- mapato ya wageni nusu mwaka 2023/24
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika ongezeko la Watalii nchini, mpaka kufikia nusu mwaka wa fedha wa 2023/24, imefanikiwa kuingiza watalii zaidi ya laki saba na kuiwezesha kupata zaidi ya shilingi bilioni 170. Hayo…
Rais Samia ametupa ujasiri mkubwa wa kufanyakazi sisi wanawake – Mwenyekiti UWT Simanjiro
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania ( UWT ) Wilaya ya Simanjiro Anna Shinini amesema Muungano huo umeendelea kuwaunganisha akina mama Kwa Umoja wao na kuwapa nguvu, ujasiri mkubwa wa kufanya kazi hususani kupitia nafasi ya Mh Rais Samia Suluhu…
DC Lulandala -tukisema tuorodheshe vitu vilivyofanywa na Rais Samia muda hautotosha
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara Fakii Raphael Lulandala amesema katika kipindi Cha Serikali ya awamu ya sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya shughuli nyingi na kubwa na kuiletea Tanzania Mafanikio makubwa…
Dk Biteko asisitiza umuhimu wa elimu usalama mahali pa kazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mewataka waajiri kwa kushirikiana na wadau wanaendelea kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza usalama mahala pa kazi na kuwawezesha watumishi kufanya kazi katika mazingira…