JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Dk Biteko afungua rasmi maonesho ya Wiki ya Nishati 2024

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua rasmi maonesho ya Wiki ya Nishati katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ambapo amemshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha Sekta ya Nishati kutokana na nyenzo na…

Wananchi wanufaika na mogodi ya madini ya Dolomite Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Wananchi wa Kijiji cha Kwedikwazu kilichopo wilayani Handeni mkoa wa Tanga wameipongeza Serikali kwa hatua mbalimbali zinazoendelea kufanyika ili kuleta maendeleo ya Kudumu kupitia Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Katibu wa Kikundi cha Wanawake…

Majaliwa atoa maagizo kwa TARURA, TANROADS kukarabati maeneo yaliyoathirika na mvua

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza TARURA, TANROADS na TAZARA kushirikiana kufanya ukarabati katika maeneo yote yaliyopata athari za mvua zilizosababisha mafuriko Rufiji na maeneo mengine nchini . Ameeleza, hatua hiyo itaenda sambamba wakati Serikali inasubiri…

Mufti wa Tanzania awapongeza marais wa Bara na Visiwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mufti mkuu wa Tanzania Shekh Abubakar Zuberi amewapongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi kwa uzalendo wao uliotukuka wa kutunza na kuzilinda tunu za…

Mwenyekiti ALAT DourMohamed akoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mbarali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbarali MWENYEKITI Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT), Mkoa wa Mbeya na Meya wa Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwa utekelezaji bora wa miradi ya maendeleo…

Waziri Kairuki kumwakilisha Rais Samia mkutano wa Kimataifa wa Miombo Washington

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo utakaofanyika Aprili 16-18,2024 jijini Washington DC nchini…