Month: April 2024
Kikwete awaasa vijana kuwa chachu ya utengamano wa kikanda Jumuiya ya Afrika Mashariki
Na Mwandishi Maalumu, Kampala Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amewaasa vijana wa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa chachu ya utengamano katika Jumuiya hiyo kwa hatua zilizobakia za Umoja wa Kifedha na Shirikisho la Kisiasa. Ameyasema hayo katika mkutano mkuu…
Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa misitu ya miombo
Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah…
Lake Group yatoa msaada Rufiji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Serikali imezipongeza Kamati za Ulinzi na Usalama pamoja na Kamati za Maafa katika maeneo yote yaliyokumbwa na maafa ya mafuriko kwa namna wanavyosimamia zoezi la uokoaji na kuratibu kwa makini misaada inayotolewa kwa ajili ya…
TBA yaanza kuwaondoa wadaiwa sugu wa pango
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Majengo nchini TBA Mkoa wa Dodoma umeendelea na zoezi la kuwaondoa wadaiwa sugu wa pango kwenye nyumba zao wakiwamo watumishi wa umma ambao taasisi zao zimeshindwa kulipa kodi huku wakibainisha kuwa zoezi hilo…
Maporomoko ya udongo Geita yasababisha hasara kwa wananchi, mazao yaharibiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Gaita Zaidi ya ekari sita za mashamba ya mpunga, mahindi, mihogo na viazi yameharibiwa na maporomoko ya udongo ambayo yametokana na mvua kubwa ambayo inaendelea kunyesha mkoani Geita. Tukio hilo limetokea kwenye mtaa wa Nshinde Kata…
Mbaroni kwa kumwingilia kuku hadi kumuua
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Rogers Sunday (41), mpiga debe Kituo cha Mabasi Usagara na mkazi wa Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza,kwa tuhuma ya kumuingilia kuku hadi kumuua kwa lengo la kujiridhisha kimwili….