JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

BoT : Elimu ya fedha itolewe kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu

Na Magrethy Katengu–Jamuhuri Media Dar es salaam Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema itahakikisha inatoa elimu ya fedha kuanzia ngazi ya elimu msingi hadi vyuo vikuu ili kisaidia kuwawezesha vijana kuwa na Uelewa na Usimamizi wa fedha hata…

Wizara ya Mipango na Uwekezaji yajivunia mafanikio ya usalama wa chakula

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ameelezea mafanikio ya miaka 60 ya Muungano kuwa Wakati Tanganyika na Zanzibar zinaungana, usalama wa chakula ulikuwa asilimia 60 huku lengo la nchi lilikuwa ni kujitosheleza kwa chakula…

Serikali kutumia bilioni 841.19 ujenzi wa barabara za wilaya

Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Katika mwaka 2024/25, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 841.19 kwa ajili ya ujenzi, matengenezo na ukarabati wa miundombinu ya barabara za wilaya. Kati ya fedha hizo shilingi bilioni 257.03 ni za…

Daktari jela miaka miwili kwa kumwomba rushwa mgonjwa

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Nzega Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela daktari wa hospitali ya Mji Mdogo wa Nzega Daudi Hashim Msokwa (29) kwa kosa la kumwomba rushwa mgonjwa aliyekuwa akitibiwa…