JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Wawekezaji wahamasishwa kuwekeza Tanga

Mkoa wa Tanga umebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za madini Wafanya biashara waaswa kuzingatia Sheria za Madini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Wito umetolewa kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini…

Balozi Kusiluka : Tumieni uzoefu wenu kuharakisha mabadiliko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na…

Timu ya ufuatiliaji huduma zitolewazo kambi za mafuriko zatinga Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa…

Rais Samia amechagua fungu bora Uturuki

Na Deodatus Balile, Istanbul, Uturuki Aprili 18, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, alifika katika Jiji la Ankara, nchini Uturuki kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali. Nimepata fursa ya kuwa katika ziara hii. Niseme Rais…