JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Wizara ya Nishati yataja vipaumbele vyake kwa mwaka wa fedha 202425

Serikali itaendelea  kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme ikiwa ni pamoja na kufikisha gridi ya Taifa katika mikoa iliyosalia,kupeleka nishati vijijini, ikiwemo katika vitongoji; kutekeleza miradi ya kielelezo na kimkakati ya mafuta na gesi asilia ikiwemo mradi…

Waziri Mavunde afuta maombi ya leseni za madini 227

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo yamekosa vigezo vya kuendelea kufanyiwa kazi. Ameyasema hayo leo tarehe 24 Aprili, 2024 Jijini Dodoma…

Serikali kuendelea kusambaza majiko banifu kwenye kaya

SERIKALI imesema itaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko banifu kwenye kaya zilizopo katika maeneo ya vijijini na vijiji-miji na kutoa ruzuku kwa wazalishaji wa mkaa mbadala kwa ajili ya ununuzi wa mashine zitakazotumika katika uzalishaji wa mkao huo….

GA yawezesha usanifu wa e-Board Ilemela

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Mwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Ummy Mohammed Wayayu amesema matumizi ya Mfumo wa kuwezesha uratibu wa shughuli za uandaaji wa vikao mbalimbali vya bodi na menejimenti katika Halmashauri na Taasisi za Umma(e-Board) umerahisisha…

Misaada yawafikia wanawake waliojifungua kambi za wahanga wa mafuriko Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa…

Ofisi ya mbunge imetoa mil.4 6 kwa vikundi vya wanawake kukopeshana- Ridhiwanni

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Kwa mujibu wa Taarifa za Sensa, ongezeko la idadi ya wanawake wanaotegemewa ndani ya familia imeongezeka kufikia asilimia 37.6, idadi ambayo inatoa fursa za kuwezesha wanawake katika jamii. Kutokana na hilo Serikali imeendelea kufanya jitihada…