JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: April 2024

Prof. Ikingura aongoza kikao cha 18 bodi ya GST

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Prof. Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha kawaida cha 18 cha Bodi hiyo kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa Taasisi hiyo kwa…

Waziri Mavunde awataka watumishi GST kuchapa kazi

GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma GST ni Moyo wa Sekta ya Madini Kufanya Utafiti wa kina kufikia asilimia 50 Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa…

Nchimbi afurahishwa mabalozi kuitangaza nchi,wakamilisha warsha ya siku nne Kibaha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewatembelea Mabalozi wa Tanzania wanaoshiriki warsha ya siku 4 ambayo imekamilika mjini Kibaha leo Aprili 24, 2024 kwa kufikia makubaliano mbalimbali ambayo yanalenga kuipaisha diplomasia ya Tanzania…

Polisi kuwanasa wezi wa kompyuta na mali mbalimbali kwenye magari Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumkamata Alpher Christophrer Minja mkazi wa eneo la Sanawali jijini Arusha ambaye alikuwa akitafutwa kwa muda mrefu kwa makosa ya unyang’anyi na wizi ndani ya magari ambayo yalikuwa yanaegeshwa…