JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Mtatiro awataka watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea

Na Suzy Butondo,Jamhuri Media,Shinyanga Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro amewataka watumishi wote wa manispaa kuacha kufanya kazi kwa mazoe, badala yake watoke maofisini kwenda kusikiliza kero mbalimbali za wananchi na kuzitatua kwa wakati. Agizo hilo amelitoa leo wakati…

Wawili mbaroni kwa kutengeneza na kumiliki silaha Shinyanga

Na Suzy Butondo,JamhuriMedia,Shinyanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata silaha tano pamoja na watuhumiwa wawili kwa kosa la kutengeneza na kumiliki silaha kinyume na sheria huku likikamata vitu mbalimbali ukiwemo mtambo wa kutengenezea siraha uitwao Vice,vikiwemo bhangi, vitanda, magodoro…

Kikwete: Mapambano ya malaria yako karibu na moyo wangu

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete amesema suala la kupambana na malaria ni jambo ambalo liko karibu na moyo wake. Aidha amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa busara wa kuanzisha Baraza…

Serikali yatenga bilioni 11 kuendeleza Hospitali ya Rufaa Mara

Na WAF – Musoma, Mara Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha fedha shilingi Bilioni 11 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendeleza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere – Kwangwa, iliyopo mkoani Mara. Waziri…

Mwijuma apongeza Shirikisho la IFPI kuchagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ameupongeza uongozi wa Shirikisho la Kimataifa la Watayarishaji wa Muziki Duniani (IFPI) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao mkuu uliofanyika leo Jijini…