JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Chalamila : Wananchi jitokezeni kumuaga Rais wa Awamu ya Pili Hayati Mwinyi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Machi 01,2024 akiongea na vyombo vya habari Ofisini kwake Ilala Boma amewaomba wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika barabara ambazo mwili huo utapita na uwanjani ambako…

Tohara yapunguza kasi ya maambukizi ya VVU Shinyanga

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Shinyanga Kasi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Shinyanga imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na juhudi kubwa zinazofanywa na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kupitia mradi wa Afya Hatua wa tohara kinga ya…

Waziri Silaa abomoa ghorofa Mbezi Beach

Na Isri Mohamed Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamia zoezi la ubomoaji wa ghorofa moja lililopo kwenye eneo la kiwanja no. 424 Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Waziri Silaa amesimamia zoezi hilo kwa lengo…

CCM yatoa pole kifo cha mzee Mwinyi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kusikitishwa na kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia jana Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu CCM, Dk Emmanuel Nchimbi imeeleza kuwa Mwinyi atakumbukwa kwa mageuzi makubwa ya kisiasa,…

Rais Samia apongezwa kuboresha huduma za afya ya jamii Shinyanga

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Shinyanga RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuboresha mazingira ya utoaji huduma za afya ya jamii na kutoa fursa kwa wadau na mashirika kutoa huduma katika mikoa mbalimbali. Pongezi…

Saratani ya mapafu ugonjwa uliosababisha kifo cha mzee Mwinyi

Na Mohammed Sharksy,JamhuriMedia -SUZA Saratani ya mapafu ni aina ya saratani ambayo huanza katika sehemu yoyote ya mapafu. Kama inavyojulikana tayari, saratani ni hali ambayo husababisha mgawanyiko wa haraka na usioweza kudhibitiwa wa seli ambayo husababisha ukuaji wa tumors. Kwa…