JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

TEF yamlilia Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais (mstaafu) wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu….

Kidunda, Wellem nani kuibuka mbabe leo usiku

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bondia Seleman Kidunda anatarajia kushuka dimbani leo usiku kupigana na Assemahle Wellem kutoka Afrika kusini. Baada ya kupima uzito Kidunda ametoa ahadi kwa watanzania ya kulipa kisasi kwa Wellem ambaye miezi michache iliyopita…

Dk Mpango awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Hayati Ali Hassan Mwinyi

………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewaongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali…

Mvua zaharibu daraja la Namiungo Tunduru

Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Tunduru Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha kwa zaidi ya masaa manne katika kijiji cha Namiungo wilayani Tunduru imeharibu miundombinu ya daraja la mto Namiungo lililopo Barabara kuu ya Tunduru kuelekea mikoa  ya kusini Lindi,Mtwara…