JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Taasisi ya DIWO yawakutanisha wanawake, yawaonya kutobaguana

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Kuelekea siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka Machi 8,Taasisi isiyo ya Kiserikali inalojihusisha na masuala ya Wanawake nchini ya Dira Women(DIWO )imewakutanisha wanawake wa Mkoa wa Dodoma katika usiku wa mwanamke, uchumi na familia ili…

ACT – Wazalendo wazindua sera ya jinsia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimezindua Sera ya jinsia ikiwa ni mwelekeo na jitihada za chama hicho kuongeza ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi. ACT Wazalendo kimekuwa chama cha kwanza cha siasa kuwa…

Dk Ibenzi aeleza namna Serikali ilivyoitua mzigo Hospitali ya Rufaa Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Waganga wafawidhi wa hospital za rufaa Tanzania bara Dk. Stanslaus Ibenzi ameeleza kuwa kwa sasa Hospitali hiyo haielemewi na wagonjwa kutokana na Serikali kuwekeza…

Sekta ya Madini yachagiza ushiriki wa wanawake katika uvunaji rasilimali madini

đź“ŚWaziri Mavunde asisitiza wanawake washiriki zaidi katika uchumi wa madini đź“ŚSTAMICO yapongezwa uwezeshwaji wanawake đź“ŚMhandisi Mbenyange wa STAMICO apokea tuzo Mwanamke wa pekee Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa, Wizara ya Madini imevutia ushiriki wa wanawake katika…