JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Sagini atangaza siku 14 kuondoa namba za 3RD

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa,…

Rais Samia atoa bilioni 7 kujenga shule mpya za msingi 12 Ruvuma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 7.2 kupitia mradi wa BOOST kujenga shule 12 mpya za msingi na miundombinu mbalimbali katika shule 44 mkoani Ruvuma. Mkuu wa Mkoa…

Trump huenda akapambana na Joe Biden kinyang’anyiro cha urais

Mahakama ya Juu nchini Marekani imeamua kuwa Colorado haiwezi kumuengua Donald Trump kwenye mchujo wake wa urais wa chama cha Republican. Jimbo la Colorado lilimzuia Trump kushiriki kura ya jimbo hilo mnamo Desemba, ikinukuu kifungu cha uasi katika Katiba na…

Rais Samia ahutubia mkutano wa mawaziri wa Sheria wa nchi wanachama Jumuiya ya Madola Zanzibar

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya…

Naibu Waziri Pinda awatuliza wananchi mgogoro wa mashamba Babati

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amewatuliza wananchi wa vijiji vya Kimara na Kiru Dick vilivyopo halmashauri ya Babati mkoa wa Manyara kufuatia mgogoro wao na wawekezaji wa mashamba….