Month: March 2024
Wanawake Ofisi ya Taifa ya Mashtaka waanza kuenzi siku ya wanawake kwa kuwafariji wagonjwa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma OFISI ya Taifa ya Mashtaka imetoa msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu kwa wagonjwa walilazwa kwa muda mrefu kwenye hospitali ya rufaani ya mkoa wa Dodoma ikiwa ni hatua ya kuenzi siku ya wanawake…
Mbibo ataka shughuli za utafiti, uchimbaji madini mkakati wa kuongezwa Afrika, Asia Duniani
*Aeleza Juhudi za Makusudi Zilizochukuliwa na Serikali Kuboresha Mazingira ya Uwekezaji Nchini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema ili kuwezesha usambazaji wa madini muhimu na mkakati ikiwemo matumizi ya nishati safi, shughuli za utafiti na uchimbaji zinapaswa…
Serikali yakabidhi boti mbili ziwa victoria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhiwa boti mbili kutoka Taasisi ya Uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa ajili ya kufanya doria na kudhibiti uvuvi haramu ndani ya Ziwa…
Mgaya mkuu mpya NIT
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dk Prosper Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kabla ya uteuzi huo Mgaya alikua Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Taarifa ya Mkurugenzi wa…
TAWIRI yabainisha umuhimu wa wadudu katika uhifadhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha kuwa, wadudu hususani nyuki ni wanyamapori wenye mchango mkubwa katika uhifadhi wakiwa na jukumu kubwa la uchavushaji mimea ambayo hutumiwa kama chakula na wanyamapori wakubwa na wadogo….