Month: March 2024
Dube aaga rasmi Azam FC
Na Isri Mohamed, JamhuriaMedia, Dar Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube raia wa Zimbabwe, kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza rasmi kuachana na klabu ya Azam FC, baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni Azam FC walitoa taarifa ya…
Wadanganyifu wote wa NHIF wamechukuliwa hatua
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Meneja wa Kitengo cha Kupambana na Udanganyifu kutoka NHIF Bi. Rose Ntundu ametoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji zinazosambazwa mtandaoni kuhusu watumishi 148 wa NHIF kuhusika kwenye vitendo vya udanganyifu. Ntundu amesema…
Bashungwa amsimamisha kazi meneja TANROADS Lindi
…….…………………….. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo…
Esther Matiko : Nitagombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini 2025, bado sijamaliza kutatua kero
Na Helena Magabe JamhuriMedia, Tarime Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chama cha Demokrasia na na (CHADEMA), Esther Matiko amesema atagombea ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini 2025 kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu baada ya kupokea maoni kutoka kwa watu mbalimbali…
Wanawake Tume ya Madini walipa bili za wagonjwa wenye uhitaji Hospitali ya Rufaa Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma KUELEKEA Siku ya Wanawake Duniani wanawake kutoka Tume ya Madini wamefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kulipia gharama za matibabu kwa wagonjwa wenye uhitaji maalum ikiwemo vifaa tiba, dawa, operesheni…