JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Ajali yaua tisa Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema ajali…

NMB, ZASCO zasaini makubaliano kuongeza thamani zao la kimkakati Z’ Bar

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar BENKI ya NMB na Kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO), zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ya ushirikiano, lengo kuu likiwa ni kuliongezea thamani zao la kimkakati la Mwani na kupanua wigo wa mchango wake katika kukuza…

Dk Biteko : Rais Samia hataki misukosuko kwa wafanyabiashara

📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu 📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama…

Wakulima wa viungo Kizerui, Antakae walilia sheria ya usimamizi wa mazao hayo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga WAKULIMA wanaozalisha mazao ya viungo kwa mfumo wa kilimo hai katika vijiji vya Kizerui na Antakae wilayani Muheza mkoani Tanga wameiomba Serikali kutengezeza sheria za kusimamia mazao hayo ili kuweza kuyalinda na kuyaongezea thamani. Ombi…

Mloganzila kufanya upasuaji rekebishi wa macho kuanzia Jumatatu

Ndoto za Kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba nchini zinaendelea kutimia ambapo safari hii Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila imeandaa kambi ya siku tano ya upasuaji rekebishi wa macho. Kambi hiyo inatarajiwa kuanza Machi 11 hadi 15, katika…