JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Yanga Vs Ihefu, mechi ya kisasi leo

Na Isri Mohamed Klabu ya wananchi Yanga leo jioni inatarajia kushuka dimbani dhidi ya Ihefu katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar, saa 1 jioni. Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na mioyo ya kisasi kufuatia matokeo ya mchezo…

Meneja RUWASA atoa siku saba kuundwa kamati ya kutatua kero ya maji Singa

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Kilimanjaro Maneja wa RUWASA wilayani Moshi, Mussa Msangi, ametoa agizo la kuuundwa kwa kamati mpya ya maji ndani ya siku saba katika Kijiji cha Singa kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu maji. Meneja Msangi ametoa agizo…

CBE waja na kozi ya uchunguzi wa rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Nsemwa, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kuanzisha kozi ya uchunguzi wa masuala ya  ufisadi na  kupambana na rushwa. Amesema kozi hiyo itasiadia kwa kiwango kikubwa nchi…

Rais Samia aboresha huduma za afya Manispaa Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora HALMASHAURI ya Manispaa Tabora imepokea zaidi ya bil 1.3/ kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kuboresha upatikanaji huduma za afya kwa wananchi katika zahanati na vituo vyote vya kutolea huduma za afya. Hayo yamebainishwa jana…

Mgomo wa daladala Mwanza waathiri wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Madereva wa usafiri wa umma, maarufu ‘daladala’ wamegoma mkoani Mwanza, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa kwa muingiliano wao (daladala) na pikipiki za miguu mitatu, maarufu ‘bajaji’, katika vituo vya kupakia abiria….