JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Mbaroni kwa wizi wa mifugo na utoroshaji

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Tinde Shinyanga Jeshi la Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo STPU, kimesema kinawashikilia watuhumiwa kadhaa kwa tuhuma za wizi wa mifugo na utoroshaji mifugo nje ya nchi huku likisema kuwa litaendelea kushirikiana na wananchi…

Siku ya misitu na upandaji miti kitaifa kufanyika Same

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Misitu na upandaji miti duniani ambayo kitaifa itafanyika Wilaya ya Same mkoani…

Dk Gwajima : Malezi na makuzi ya watoto yanaathiriwa na migogoro ya kifamilia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kuhakikisha wanatenga muda wa kutosha wa kukaa na kulea watoto wao kwa kuzingatia mila na desturi nzuri. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Maendeleo…

Mtoto aliyekuwa na tatizo la kumeza chakula kwa miaka saba afanyiwa upasuaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mwishoni mwa juma lililopita, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ilimfanyia upasuaji kwa njia ya matundu madogo (Laparoscopic Hellers Myotomy) mtoto wa miaka saba ambaye alikua na tatizo la kumeza linalojulikana kwa kitaalam kama…

Sakata la Mbowe na waandishi bado ni utata

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kesho inatarajia kutoa uamuzi wa kukubali ama kuyakataa maombi ya Freeman Mbowe ya kutaka waandishi wa habari wanaomdai mtoto wake Sh milioni 62.7 wamlipe gharama. Maamuzi hayo yametolewa…

Serikali yatoa bilioni 2.2 kutekeleza miradi mitano ya maji Songea

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetenga Zaidi ya shilingi bilioni 2.238  kutekeleza miradi mitano ya maji katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma katika mwaka wa fedha wa…