JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Kamati ya Bunge yataka mipango matumizi ya ardhi vijijini kusimamiwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruangwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka mipango ya matumizi ya ardhi inayotekelezwa katika vijiji mbalimbali nchini kusimamiwa ipasavgo na Kamati za Vijiji ili iweze kuleta tija katika vijiji husika. Aidha,…

Uwekezaji kwenye sekta ya elimu lazima umguse mwalimu – Dk Biteko

📌 Azindua programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu nchini (GPETSP) 📌 Ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu 📌 Aeleza vipaumbele 8 kuendeleza Kada ya Ualimu 📌 Ataka walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha 📌…

Zimbabwe yavutiwa na mpango wa Tanzania kurejesha minada ya vito

Waziri wa Madini wa Jamhuri ya Zimbabwe Soda Zhemu amesema kuwa nchi yake imevutiwa na Mifumo ya Minada ya Madini ya Vito iliyo katika hatua za mwisho kurejeshwa nchini Tanzania baada ya kukamilika kwa Marekebisho ya Sheria. Amesema hayo Machi…

Samatta, Job waachwa Taifa Stars

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetangaza kikosi cha wachezaji 23 cha Timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachokwenda Azerbaijan kwa ajili ya michezo ya FIFA Series 2024. Kikosi hicho ambacho kwa sasa kinanolewa…

Polisi yawataka wananchi kuwataja wezi wa mifugo Endasak Manyara

Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Katesh Manyara Jeshi la Polisi Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo limewataka Wananchi wa Kata ya Endasak Wilaya Hanang Mkoa wa Manyara kuwataja watu wanaojihusisha na wizi wa Mifugo katika eneo hilo huku likiwataka…

Mama aua mtoto wake na kumla

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Shinyanga Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Nyasorod Paul, anadaiwa kumuua mtoto wake Nazaeri Kidia, mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba na kisha kumla nyama. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa…