JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

TEHAMA yaanda kongamano litakalo wakutanisha watu 300 Arusha

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Tume ya Habari na Mawasiliano nchini (TEHAMA), imeendaa jukwaa la tatu la usalama wa mitandao ya kielekitroniki la mwaka 2024 litakalofanyika kuanzia April 4 hadi 5 mwaka huu jijini Arusha ambapo washiriki 300…

Mume aua mkewe kwa kumchinja na kisu

Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Mbeya Mwanaume mmoja aitwaye,Ombeni Kilawa (43,) mkazi wa Kijiji cha Lusese, Kata ya Igurusi wilayani Mbarali anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumuua mke wake kwa kumchinja na kisu shingoni . Kwa…

Samatta aliomba asiitwe Stars

Na Isri Mohamed Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aliomba kutojumuishwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa. TFF imesema Samatta alizungumza na Kocha Hemed Suleiman, kabla ya kutajwa kwa kikosi hicho na…

Wakazi Kisabi wagoma kuhamia Kikongo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wakazi wa Kitongoji cha Kisabi , Mlandizi ,Kibaha Vijijini , Mkoani Pwani wanaotakiwa kupisha eneo hilo na kuhamia Kikongo eneo lenye ekari 1,000 lililotolewa na Serikali wamegomea kuhama wakidai ugumu wa kuanza maisha mapya. Hayo…

Watoto chini ya miaka mitano wapatiwa matone ya vitamini A

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara afya imepokea vidonge vya matone ya Vitamini A milioni 22 kutoka kwa shirika la Nutritrion International kwa ajili ya kuwapatie watoto walio na umri chini ya miaka 5 wapatao milioni…

TAKUKURU Ruvuma yabaini mapungufu miradi minne ya bilioni 1.55

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana ya Rushwa (TAKUKURU), mkoani Ruvuma imebaini mapungufu na kuchukua hatua katika miradi minne ya maendeleo yenye thamani ya bilioni 1.55. Hayo yamesemwa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Hamza…