JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Tanzania yasaini mkataba wa ushirikiano na Hungary kwenye sekta ya maji

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Rais Samia kuwaongoza viongozi ibada ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Sokoine

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Media Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza viongozi mbalimbali kwenye ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Tanzania katika kipindi…

TAKUKURU: Miradi 171 yabaini kuwa na kasoro, uchunguzi waanza

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imefanya  tathmini ya miradi 1,800 na kati ya miradi hiyo 171 yenye thamani ya Sh bilioni 143.3 ilibainika kuwa na utekelezaji hafifu na hivyo kuanzisha uchunguzi. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru,  Salum Hamduni…

Dk Shemwelekwa awafunda watumishi Kibaha

Na Byarugaba Innocent,JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Shemwelekwa amefanya kikao rasmi na watumishi kwa lengo la kufahamiana, kujitambulisha na kutoa mwelekeo kiutendaji. Dkt.Shemwelekwa aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe…

Equity benki yakutanishwa na vikundi vya huduma ndogo Tarime Mjini

Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime Halmashauri ya Mji Tariime Kwa kushirikiana na Benki ya Equity wametoka semina fupi kwa vikundi mbalimbali vya huduma ndogo vilivyopo Tarime Mjini. Lengo la semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Sky ni kuwajengea…