JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Serikali yapongeza Dira ya miaka 50 CBE

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kuweka mikakati ya kujiimarisha kiteknolojia, uvumbuzi na ubunifu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira ambayo yanakwenda kwa kasi. Wito huo ulitolewa leo jijini…

NMB yatoa vifaa vya ujenzi kwa shule sita Nyasa

 Katikaati kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kusini Faraja Ngingo akimkabidhi vifaa vya ujenzi Katibu Tawala waaa Wilaya ya Nyasa Salim Ismalil katika hafla ya kutoa vifaa hivyo iliyofanyika katika shule ya msingi Nangombo ambapo NMB imetoa…

Rais Samia akutana na marais Museven, Ruto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya walipowasili Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Kwenye mazungumzo yao wamezungumzia masuala…

Ugonjwa figo washika nafasi ya nane duniani kusababisha vifo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Inakadiriwa kuwa watu milioni 850 duniani wanasumbuliwa na magonjwa sugu ya figo na kati yao watu milioni 3.1 hufariki dunia kila mwaka na kuufanya ugonjwa huo kushika nafasi ya nane ulimwenguni kwa kusababisha vifo….

Safari ya kuendeleza vyanzo vipya vya umeme yashika kasi

๐Ÿ“Œ Dkt.Biteko azindua utekelezaji mradi mkubwa wa umeme Jua Kishapu ๐Ÿ“Œ Ni wa megawati 150 ๐Ÿ“Œ TANESCO, REA watakiwa kupelekea umeme wananchi kwa haraka ๐Ÿ“ŒWakandarasi SUMA-JKT, TONTAN waonywa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo…

Hospitali zote za rufaa za mikoa zitumie mifumo ya TEHAMA

Na. WAF – Mwanza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Rufaa za Mikoa nchini kuanza kutumia mifumo ya TEHAMA ili kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa wananchi. Waziri Ummy amesema hayo leo Machi 14, 2024 wakati…