Month: March 2024
Ujenzi wa bandari Kisiju kizungumkuti, wasuasua
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Kisiju ,Kata ya Kisiju ,Mkuranga mkoani Pwani ,bado kaa la moto ,kizungumkuti kwani umechukua muda mrefu huku wananchi wakiwa katika sintofahamu. Wajumbe wa Bodi ya Barabara ,Mkoani humo, wameonesha…
‘Madai ya ACT- Wazalendo kujitoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa yapuuzwe’
KATIBU wa Kamati ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis amesema kuwa madai ya ACT-Wazalendo ya kujitoa katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) yapuuzwe na hayana mashiko kwani Serikali hiyo imeundwa kwa nguvu ya kura…
Kamati ya Bunge yafurahishwa na uwekezaji uliofanywa sekta ya hali ya hewa
Na Mwandishi Wetu, KamburiMedi Kamati ya Kudumu ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipongeza Serikali kwa uwekezaji mkubwa kwenye sekta hali ya hewa nchini. Hayo yameelezwa wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na TMA…
Zungu asisitiza ulipaji kodi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbunge wa Ilala na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amewataka Watanzania kuendelea kulipa kwani ni muhimu kwa maendeleo ya Nchi. Amesema lengo kuu la serikali…
12 wafanyiwa upasuaji rekebishi wa macho Mloganzila
ยท Global Medicare yasema ni matunda uwekezaji wa Rais Samia Na Mwandishi Wetu, JamhuriaMedia, Dar ea Salaam WATU 12 wamefanyiwa upasuaji rekebishi wa macho kwenye kambi ya macho iliyoendeshwa na Hospitali Muhimbili Mloganzila kwa kushirikiana na taasisi ya utalii tiba…