JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

RC mpy Shinyanga ataka elimu itolewe kwa wananchi kuacha kucheza kamali

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Annamlingi Macha amewataka viongozi na wataalamu kutoa elimu kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyanga kuacha kucheza kamali na kushinda kwenye kahawa, badala yake wathamini muda kwa kufanya kazi kwa bidii,…

Tanzania mwenyeji kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika

Na Mwandishi wetu NCHI ya Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGe-C10) ambapo takribani washiriki 1000 kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kushiriki . Kongamano hilo litafanyika kuanzia Novemba 11 hadi 17, 2024 katika Kituo cha Mikutano…

Mbarawa aridhishwa na majaribio ya safari ya treni ya SGR kipande cha Dar hadi Moro

Na Jumanne Magazi Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema ameridhishwa na ujenzi na majaribio ya safari ya treni ya mwendokasi maarufu SGR, kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ameyasema hayo leo Machi 18, 2024,…

Putin ashinda urais Urusi

Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameshinda uchaguzi wa rais kwa asilimia 87.97 ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya kwanza yaliyooneshwa Jumapili baada ya zoezi la kupiga kura kufungwa. Putin,71, aliyeingia madarakani mwaka 1999, alipata muhula mpya wa miaka sita…

Raia wa Burundi, DR Congo wanaswa kwa kuishi bila vibali

Polisi mkoani Kigoma kwa kushirikiana Idara ya Uhamiaji imewakamata watu 86  kutoka nchi za Burundi na Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo wakiwa wanaishi na kufanya kazi nchini bila vibali. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu akitoa taarifa kwa waandishi…