JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Mhandisi Sanga :Msifanyie ‘lamination’ hati za ardhi

Na Munir Shemweta, JamhuriMerdia, Chalinze Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Hati miliki za Ardhi zinazotolewa kwa wamiliki wa ardhi nchini haziruhusiwi kuwekewa ‘’Lamination’’. Mhandisi Sanga ametoa kauli hiyo tarehe 18 Machi…

Miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia na kuimarika kwa mapambano dhidi ya rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rushwa ni tatizo la kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyanganya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule asiyeistahili kwa sababu…

Sh trilioni 6 zaboresha sekta ya afya

Waziri wa Afya ,Ummy Mwalimu amesema serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha Sh trilioni 6.722 ndani ya miaka mitatu ili kuboresha sekta ya afya hivyo sekta ya afya inakwenda mbele na namba inawabeba. Mambo makubwa 11 katika kipindi…

Rufaa ya mbunge Gekul kusikilizwa Machi 21

Na Isri Mohamed Mahakama kuu Kanda ya Manyara, imepanga kusikiliza rufaa ya tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini Paulina Gekul, za kumshambulia Hashimu Ally, Machi 21,2024, Chini ya jaji wa mahakama hiyo Devotha Kamzora. Jaji wa Mahakama kuu Kanda ya…

Viwanda vya kuongeza thamani madini na bidhaa za migodini kujengwa Kahama

Ni mwitikio wa maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu juu ya uongezaji thamani madini Eneo la Mgodi wa Buzwagi unaofungwa sasa kujengwa zaidi ya viwanda 100 Buzwagi kuwa kitovu cha uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za migodini kwa nchi Afrika…

Wagombea 127 wa udiwani kutoka vyama 18 kupigiwa kura kesho

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wagombea udiwani 127 kutoka vyama 18 vya siasa wanatarajiwa kupigiwa Kura katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 22 za Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 20 Machi, 2024. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti…