Month: March 2024
Tantrade yapokea vifaa vya bil.1/- kitoka Korea Kusini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imepokea vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 1 kutoka kwa Mamlaka ya biashara ya Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha Utendaji kazi. Vifaa hivyo…
Bilioni 286 kujenga uwanja wa Arusha, kubeba watu 30000
Na Isri Mohamed Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Dkt. Damas Ndumbaro leo ameongoza zoezi la utiaji saini na mkandarasi unaohusiana na ujenzi wa uwanja mpya wa michezo Jijini Arusha. Waziri Ndumbaro amesema kwa sasa unajengwa uwanja wa kisasa wenye thamani…
Jela miaka 25 kwa kukutwa na kilo 107, 29 za bangi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro imemuhukumu John Mwasikili kutumikia kifungo cha miaka 25 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi zenye ujazo wa kilo 107.29….
Polisi waendelea kuwabana wanaovunja sheria, wananchi waomba operesheni 3D iendele
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi-Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Kimeendelea na operesheni ya kutoa elimu na kuwakamata wale wote wanaoendelea kuvunja sheria za usalama Barabarani huku Jeshi hilo likiwapongeza wale wote waliotii agizo la Serikali la…
Kaya 77 zenye watu 463 zaagwa Ngorongoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngorongoro Kaya 77 zenye watu 463 na mifugo 1,408 waliohama kwa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Msomera wameagwa leo katika ofisi za mamlaka ya hifadhi hiyo. Ofisa Uhifadhi Mkuu, Flora Assey ambaye ni meneja mradi…
Watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu watakiwa kutekeleza majukumu yao kwa ubunifu
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera ,Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama ametoa wito kwa Baraza la Wafanyakaziwa Ofisi hiyo,kupitia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2023/24 na makadirio ya bajeti ya mwaka 2024/25…