JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Serikali yaongeza Tahasusi (Combination) mpya 49

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza Tahasusi (Combination) mpya 49, kutoka 16 zilizokuwepo awali hadi kufikia Tahasusi 65. Tahasusi hizo mpya zitakazoanza kutekelezwa Julai, 2024…

Manyara kuchunguzwa ubadhilifu fedha za miradi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI kufanya, ufuatiliaji na  uchunguzi wa fedha walizopeleka kutekeleza miradi katika mkoa wa Manyara hasa katika miradi ya…

Tanzania, Uholanzi, China kushirikiana mazao ya mbogamboga

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali ya Tanzania, China na Uholanzi zitaendelea kushirikiana kukiendeleza Kituo cha Taasisi ya Utafiti na Uendelezaji wa Mazao ya Mbogamboga Duniani cha World Vegetable Centre ili kukidhi mahitaji ya wakulima. Mweli…

Mchinjita Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amemteua Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita kuwa Waziri Mkuu Kivuli ACT Wazalendo. Uteuzi huo umejiri leo Machi 20, 2024 wakati Dorothy Semu…

Nchimbi: Watanzania wanajivunia miaka mitatu ya uwezo mkubwa wa Rais Samia

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka…

Breaking News; Mzee Mjegeje afariki dunia

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mchekeshaji anayefahamika zaidi kwa jina la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Jamhuri Media imezungumza na meneja wake ambaye amethibitisha kifo chake…