JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Treni binafsi za mizigo kuanza TAZARA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limesaini mkataba na sekta binafsi ya kuleta treni ambazo zitabeba mizigo kutoka bandarini na kupeleka nchi jirani. Mkataba huo umesainiwa Machi 20, 2024 Makao Makuu…

CCM yashinda udiwani Kigoma Ujiji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Kasingirima Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya mgombea wa chama hicho Mlekwa Mfamao Kigeni kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kwenye kata hiyo…

Halmashauri zatakiwa kurejesha fedha za mikopo ya KKK kupitia vyanzo vingine

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, Shinyanga Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini zilizokopeshwa fedha kwa ajili ya programu ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi (KKK) kutafuta vyanzo vingine vya fedha kwa…

Jela miaka 30 kwa kumdaganya mwanafunzi kuwa atamuoa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Mahakama ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe imemhukumu mshtakiwa Stanford Theobert (19), Mkulima, mkazi wa Maporomoko, Tunduma kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka. Mtuhumiwa huyo alikamatwa Januari 23, 2023…

Pwani yapunguza makosa ya uhalifu kwa asilimia 23.4

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani JESHI la Polisi mkoani Pwani, limepunguza uhalifu kwa makosa 259 sawa na asilimia 23.4 ukilinganishwa na mwaka 2020 ambapo kulikuwa na makosa 1,104 dhidi ya makosa 845 ya mwaka 2023. Aidha mkoa huo ,umefanikiwa kukamata…