JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Yanga Vs Mamelod, mzunguko ni bure

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Afisa habari wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe ametangaza kuwa Rais wa Yanga, Hersi Said pamoja na Kamati yake ya Utendaji wamekubaliana kuwa mechi yao dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini itakayochezwa…

LAAC washtukia upigaji fedha ujenzi wa hospitali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imetoa maelekezo kwa watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo waliosimamia mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo na kusema kuwa kamati…

Dk Mwinyi azindua vitalu vya uwekezaji mafuta na gesi asilia

Na Fauzia Mussa, Maelezo Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapuinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema  Serikali inatoa fursa  kwa wawekezaji katika sekta ya Mafuta na Gesi Asilia  ili kuweza kutekeleza  shughuli hizo. Akizindua duru ya kwanza…

Mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM Kata ya Bukundi aibuka kidedea

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Meatu Mkoa wa Simiyu Bw. Athumani Masasi amemtangaza Bw. Yunusi Kilo Ally wa CCM kuwa mshindi wa Udiwani katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya  Bukundi kwa kupata kura 2,182 na kumshinda Bw. Joseph Masibuka…

Clara Luvanga mfungaji bora Al Nassr

Na Isri Mohamed Mtanzania Clara Luvanga anayekipiga katika klabu ya wanawake ya Al Nassr huko nchini Saud Arabia ameibuka kuwa mfungaji bora wa ligi ya wanawake nchini humo. Luvanga ambaye klabu yake ya Al Nassr ladies imechukua ubingwa wa ligi,…

Serikali yasisitiza umoja kwa Simba, Yanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imewaonya baadhi ya Watanzania ambao wamekuwa na tabia ya kuzipokea na kuzishangilia timu ngeni zinapokuja kucheza na timu za Tanzania kuacha tabia hiyo kwani inarudisha nyuma juhudi…