Month: March 2024
Sababu za Ziwa Tanganyika kuongezeka kina cha maji hizi hapa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Imeelezwa kuwa uwepo wa shughuli za kibinadamu na uwepo wa majanga ya asili vimetajwa kuwa ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa kina cha maji katika Ziwa Tanganyika. Hayo yamebainishwa kupitia mkutano wa mwaka wa…
Rais Museveni amteua mtoto wake kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Rais Museveni amemteua mtoto wake wa kiume Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda mkuu wa jeshi, uteuzi huo hata hivyo umezua minong’ono huku wengi wakiamini kuwa Museveni anamsafishia njia mtoto huyo kuwa rais. Muhoozi Kainerugaba anachukua nafasi ya Jenerali Wilson Mbasu…
Dk Mpango ashtushwa matumizi ya fedha ujenzi wa Hospitali Mwanga
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, kutuma timu ya watalaamu kufika Wilaya ya Mwanga na kuchunguza matumizi ya fedha za ujenzi wa Hospitali ya…
Tanzania yaelezea uzoefu wake wa kidijiti Uswisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkutano wa kwanza wa Bodi ya Ubunifu wa Kidijitali ya Shirika la Mawasiliano duniani (ITU) umefanyika jijini Geneva, Uswisi huku Tanzania ikitumia fursa hiyo kuelezea uzoefu kwenye masuala ya ubunifu wa kidigiti. Katika Mkutano huo, Tanzania…
Serikali yaelekezwa kuongeza nguvu mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika maeneo ya migodi; vituo vya magari makubwa, maeneo ya mialo ya samaki…