Month: March 2024
Urusi yafanya mashambulizi makali ya makombora Ukraine
Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky amesema Urusi imefanya mashambulizi makali ya usiku kucha kwa kutumia zaidi ya makombora 90 na droni 60 aina ya Shahed zilizotengenezwa na Iran. Rais wa Urusi Volodymyr Zelensky amesema leo kuwa Urusi imefanya mashambulizi makali…
Spika wa Bunge la Afrika Kusini ajisalimisha kwa Polisi
Spika wa bunge la Afrika Kusini amejisalimisha kuwa Polisi huku uchunguzi wa ufisadi ukiendelea dhidi yake. Nosiviwe Mapisa-Nqakula alijisalimisha kwa Polisi ya Kati ya Pretoria leo asubuhi na anatarajiwa kufikishwa mahakamani baadaye mchana, ripoti za vyombo vya habari vya ndani…
Mkurugenzi Sumbawanga kortini kwa kesi ya uhujumu uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi, Catherine Mashalla ameunganishwa na washtakiwa wengine saba katika kesi ya uhujumu uchumi na kufanya idadi ya washitakiwa katika kesi hiyo kufikia 14. Mashalla ambaye kwa sasa…
Nchi za SADC zajipanga kumaliza changamoto za kiusalama Mashariki mwa DRC na Jimbo la Cabo Delgado
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa ngazi ya Makatibu Wakuu wa Utatu wa Asasi mbili za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)…
Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni na maombi 2648
Jumla ya eneo la ekari milioni 13 zinashikiliwa na watu 6-Maeneo mengi kugawiwa vikundi vya wachimbaji wadogo na wawekezaji wenye uwezo wa kuchimba-Wamiliki wa Leseni wadaiwa bilioni 36 kwa kushindwa kulipa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini Anthony…
Miradi ya barabara yafikia asilimia 75 Halmashauri ya Manispaa ya Singida – TARURA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Utekelezaji wa miradi ya barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida upo hali nzuri kwa asilimia 75 ya miradi yote inayotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Meneja wa TARURA Mkoa wa…