JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2024

Ubomoaji nyumba bonde la Msimbazi kuanza Aprili 12, nyumba 2,155 kuathirika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ubomoaji nyumba zilizofidiwa katika Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi unatarajiwa kuanza Aprili 12, 2024, na litawahusu waathirika 2,155 ambao tayari wamelipwa fidia. ambaye ni Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano na Benki…

Dk Biteko aagiza mpango mkakati kuimarisha huduma afya ya msingi

šŸ“ŒAsisitiza kutoa elimu ya afya kwa jamii šŸ“ŒAupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na Watanzania šŸ“ŒJumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017 hadi 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza…

Tanzania yapandishwa uwezo wake wa kukopa kimataifa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepandishwa kwenye orodha ya kimataifa ya viwango vya nchi vya kukopa kutokana na kuimarika kwa uchumi wake ndani ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kwa mujibu wa shirika la kimataifa…

Serikali yazindua Mpango Mkakati wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa amezindua Mpango mkakati wa wadau wa elimu mkoa wa Dodoma huku akitoa maagizo mbalimbali ikiwemo kuwataka Wakuu wa Wilaya nchini kuhakikisha wanawafuatilia Wanafunzi ambao hawajaripoti Shuleni kwa…

Malawi yatangaza ukame kuwa janga la kitaifa

Malawi imetangaza kuwa janga la kitaifa hali ya ukame inayokumba sehemu kubwa ya nchi hiyo. Tangazo hilo linakuja chini ya mwezi mmoja baada ya taifa jirani la Zambia kuchukua hatua kama hiyo. Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameomba zaidi ya…