Month: March 2024
Majaliwa kuongoza mapokezi ndege mpya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuongoza mapokezi ya ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737-Max9 yenye uwezo wa kubeba abiria 181. Ndege hiyo itapokewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam…
Wachimbaji wadogo wa madini wamburuza mahakamani rais wa wachimbaji FEMATA
Na Suzy Butondo,JamhuriMedia, Shinyanga Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliokuwa wakiendesha shughuli zao za uchimbaji kwenye mgodi uliopo kijiji cha Imalamate Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wameamua kumfungulia mashitaka rais wa Chama cha Wachimbaji wa madini Tanzania (FEMATA), John…
BRELLA kutoa mafunzo kwa Burundi, Sudan Kusini utoaji huduma kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeanza kutoa mafunzo ya siku tatu kwa wawakilishi kutoka nchi za Burundi na Sudan Kusini juu ya utoaji wa huduma za urasimishaji wa biashara kwa…
Miaka mitatu ya Rais Samia, TRC yajivunia mafanikio makubwa
Na Jumanne Magazi,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema shirika limepata mafanikio makubwa kiutendaji ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais DKt Samia Suluhu Hassan tokea aingie madarakani. Akizungumza na wahariri…
Mmoja afariki kwa mafuriko, wengine waokolewa Ifakara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilombero Mtu mmoja amefariki na wengine kuokolewa baada ya mvua kubwa kunyesha wilayani Kilombero. Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Dunstan Kyobya amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja baada kutumbukia kwenye kina kirefu…
Waandishi wa habari wawili wafariki kwa ajali Rufiji
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Pwani Waandishi wa habari wawili waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Lindi wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kugongwa na gari aina ya Canter. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Protas Mutayoba, amethibitisha kutokea kwa…