JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Dk Biteko aongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa China

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya Siku Tatu. Akiwa nchini, Mhe. Guozhong anatarajiwa…

Timu ya Mlandege wapeleka kombe Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla wakati akiwasili viwanja vya Ikulu katikati hafla ya Chakula cha…

Waziri Mkuu ashiriki mkutano wa tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa Balozi Hussein Kattanga, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tatu wa Kusini wa Kundi la 77 na China kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Rwenzori uliyopo katika…

Rais Samia aalikwa Vatican na Papa Francis

Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoloki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Suluhu Hassan atafanya Ziara ya Kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa…

Dk Biteko, Waziri wa Nishati Misri wazungumzia maendeleo mradi wa JNHPP

📌Majaribio ya mwanzo mtambo Na.9 JNHPP yaleta mafanikio 📌Kilowati 100 zaanza kuingizwa gridi ya Taifa 📌Waridhishwa na utekelezaji wa mradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nyumba, Nishati…

Serikali yaahidi kurejesha hali ya miundombinu ya barabara iliyoathirika na mvua

N Mwandishi Wetu, Jamhuriamedia, Dar ea Salaam Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amepongeza Kamati ya Maafa ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa jitihada mbalimbali za kurejesha hali katika maeneo ambayo…