JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Ukatili, Bi mdogo apigwa, alishwa kinyesi

*Kisa? Kumzuia mumewe asikipige kichanga cha miezi miwili Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Katika tukio lisilokuwa la kawaida, mkazi wa Buchegera, Serengeti mkoani hapa, Nyaikongoro Ntumbo (28), anatuhumiwa kumpiga mkewe mdogo na kumlazimisha kula kinyesi. Akizungumza na JAMHURI, mwathirika wa…

John Heche ataja orodha ya watu waliotekwa na kupotea

Na Helena Magabe, JamhurMexia, Tarime Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA John Heche ambaye pia amewahi kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini jana amehojiwa Polisi na kutaja orodha ya watu waliotekwa na kupotea. Akizungumza kwa njia ya simu na Jamhuri kuhusu…

Watanzania jitokezeni kutoa maoni miswada ya sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa – Dk Biteko

📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa…

‘Singida kugeuzwa ya kijani’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Shirika lisilo la kiserikali la HELVETAS – Tanzania limegawa bure miche 1,700 ya miti ya matunda kwa wakulima wa wilaya tatu za Mkoa wa Singida kama utekelezaji wa mradi wa mazingira wa UKIJANI unaolenga kuwawezesha…

TAWA: Aliyeuwa mamba alifuata sheria

MTANDAO: UCHUNGUZI unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kibali halali, ada na tozo zote za uwindaji alilipa na hakuna utaratibu uliokiukwa. Mamlaka…

Kiongozi wa upinzani aliyechomwa kisu shingoni Korea Kusini ahamishwa hospitali

KIONGOZI wa chama cha upinzani cha Democratic Party cha Korea Kusini, Lee Jae-myung amewahishwa hospitali mjini Seoul baada ya kuchomwa kisu shingoni na mtu asiyejulikana. Shambulio lilitokea wakati Lee alikuwa akikagua eneo lililopendekezwa kufanyika ujenzi wa uwanja wa ndege mpya…