JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Pwani yalenga kuandikisha wanafunzi 51,446 darasa la kwanza, awali 55, 771

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge amefafanua kuwa, mkoa huo una malengo ya kuandikisha wanafunzi wa shule za awali  55,771 pamoja na wanafunzi 51,446 wa darasa la kwanza. Ameeeleza, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka…

Idadi ya vifo vya tetemeko Japan yafikia 73

Idadi ya watu waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi nchini Japan imeongezeka na kufikia 73 mapema hii leo wakati shughuli ya kuwatafuta manusura ikiendelea. Vifo vyote vimeripotiwa kutokea katika eneo la Ishikawa lililoathirika zaidi na tetemeko hilo la ukubwa wa…

‘Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki yuko hai’

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ni mzima wa afya, imesema taasisi yake. Imesema hivyo baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya kijamii siku ya Jumatano ikizungumzia afya ya rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini na madai…

Serikali kuajiri walimu 1,500 na kuboresha posho Z’bar

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imejenga skuli za kisasa za ghorofa mijini na vijijini pamoja na maeneo ya visiwa vidogovidogo ikiwemo Gamba, Kojani, Tumbatu. Amesema ahadi ya CCM iliandika kujenga mabanda ya skuli, ambapo Serikali ya…

Rais Mstaafu Kikwete ahudhuria sherehe za wajukuu zake kuhitimu kambi ya jando kijijini Msoga

Mchana wa tarehe 31 Desemba 2023 kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na sherehe kubwa  ya jando na unyago. Sherehe hiyo ilihusisha  wavulana 11 na wasichana 7, wakiwemo watoto wa  Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze…