JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Mbunge Cherehani : Tumuombee Rais Samia akamilishe miradi ya maendeleo

Na Samuel Mmbanga, JamhuriMedia, Ushetu – Kahama Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa…

Hospitali ya Kairuki yaongeza chachu ya utalii wa tiba nchini

  Yasimika mtambo wa kisasa unaopatikana nchi tatu tu Afrika Tanzania sasa kupokea mamia ya wagonjwa kutoka nje Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JITIHADA zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kuigeuza Tanzania kuwa kitovu cha utalii tiba zinaendelea kupata…

Mchinjita autaka umakamu mwenyekiti ACT- Wazalendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi, Isihaka Mchinjita amesema anatarajia kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho upande wa Tanzania Bara. Kwa sasa nafasi hiyo kwa upande wa Tanzania Bara inashikiliwa…

Viongozi wa dini waombwa kuweka mkazo katika kusimamia maadili

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, IringaViongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya yanayoendeshwa zaidi na ulimwengu wa kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…

Angalia matokeo mitohanibdarasa la nne na kidato cha pili 2023/24

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili (FTNA) pamoja n matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne (SFNA) leo Januari 7, 2023 https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/ftna/ftna.htm http://MATOKEO YA MITIHANI DARASA LA NNE

Akili Platfom Tanzania yafungua mwaka kwa kupanda miti 100 kituo cha wazee Ipuli

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Uongozi wa Shirika la Akili platfom Tanzania kwa kushirikiana na vijana kutoka vyuoni wamefika katika kituo cha wazee Ipuli kwa jina lilizoeleka Kijiji cha Amani mkoani Tabora kwa zoezi la kutenda Zoezi hilo limefanyika Januari…