JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Taharuki kujiuzulu Waziri Simai

· Wengi washangazwa, wasema ni mchapakazi hodari anayejua kazi yake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, ¹Zanzibar WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohamed Said, ametangaza kujiuzulu kwa kile alichokisema, mazingira tatanishi ya kazi na…

Mwarobaini wa miundombinu korofi Serengeti wapatikana

Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti Na Edmund Salaho, JamhuriMedia, Serengeti Kamishna wa Uhifadhi – TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja…

Mwakinyo abadilishiwa mpinzani, apewa mjeshi

Ikiwa imesalia siku moja kufikia Januari 27, 2024 siku ya pambano la ‘Mtata Mtatuzi’, Bondia Hassan Mwakinyo amebadilishwa mpinzani wa kucheza nae na kupewa Elvis Ahorgah kutoka Ghana. Mwakinyo ambaye awali alitakiwa kucheza na Mbiya Kanku kutoka Congo, wakiwania mkanda…

Kinara wa uuzaji dawa za kulevya nchini adakwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara kinara wa mtandao wa kuuza dawa za kulevya aina ya Cocaine nchini amekamatwa na jumla ya gramu 692.336 za dawa hizo zinazohusisha watuhumiwa wengine wanne katika oparesheni maalumu zinazoendelea nchini. Hayo yameelezwa…

EBN Hunting Safari Ltd yatoa gari Burunge WMA kusaidia kupambana na ujangili

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya EBN Hunting Safari Ltd ambayo inafanya shughuli zake katika kitalu cha uwindaji cha Hifadhi ya Jamii ya Qanyamapori ya Burunge wilayani Babati imetoa gari aina ya Land Cruiser ili kusaidia…

Wabunge Simba na Yanga kukiwasha Januari 27, mwaka huu Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Timu ya wabunge na watumishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoshabikia timu hasimu za Simba na Yanga wanatarajia kukiwasha katika uwanja wa Jamhuri jijini hapa Januari 27 mwaka huu kwa kuhusisha mchezo 23 ambayo…