JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Kamati ya Bunge yaridhishwa na mradi wa maji Butimba jijini Mwanz

Yapongeza jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Maji Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mradi wa Maji uliojengwa eneo la Butimba Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza unaozalisha kiasi…

Waziri Majaliwa ashangazwa gari la uchimbaji visima Lindi kutofanyakazi tangu linunuliwe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Maji Jumaa Aweso kufika katika ofisi za wakala wa Maji na usafi Mazingira Vijijini Mkoa wa Lindi (RUWASA) na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Lindi (LUWASA) kufuatilia mapungufu yaliyopo ikiwemo…

Kasekenya : Hakuna mradi wa ujenzi utakaosimama

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende, akitoa taarifa ya mradi kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, alipokagua Barabara ya Kibaoni-Sitalike ( Km 74) inayojengwa kwa kiwango cha lami, kipande cha kwanza cha…

Mume atuhumiwa kumuua mkewe kwa kumkata kata vipande kisha kuvitupa mtoni Njombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Jeshi la Polisi mkoani Njombe, linamshikilia Juma Kyando (36), mkazi wa Dombwela, wilayani Makete mkoani Njombe kwa tuhuma za kumkata kata vipande mkewe kisha kwenda kuvitupa mtoni. Akizungumzia tukio hilo kwa niaba ya Kamanda wa…

Chalamila atoa onyo kwa wakuu wa shule kuchangisha michango holela

Asema wanaofanya hivyo waache maramoja kwani Serikali imeshashugulikia suala hilo Ahimiza matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuwafundisha watoto Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Januari 8, 2024 ametoa onyo kwa…