JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

PICU inavyookoa maisha ya watoto Muhimbili na kutoa mafunzo kwa wataalam nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Uwepo wodi ya watoto wanaohitaji uangalizi maalum (PICU) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili umesaidia kuokoa maisha ya watoto ambao walikuwa wanapoteza maisha hapo awali kutokana na ukosefu wa huduma hiyo. Daktari Bingwa wa Watoto, Dkt….

Waziri Kijaji: Ujenzi wa viwanda na kongani vya kutosha utapunguza tatizo la ajira kwa vijana nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji ,ameeleza ujenzi wa viwanda na kongani za kutosha nchini utasaidia kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana wa kitanzania ambao wanamaliza masomo yao kila mwaka zaidi ya milioni moja…

Mambo ya kutisha yalitokea ndani ya kanisa la TB Joshua, adaiwa kuwabaka na kuwanyanyasa wanawake

Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations – watano Waingereza – wanadai…

DED Munde atoa muda wa mwisho waliovamia shamba namba 34 Mitamba kuondoka

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Halmashauri ya Mji Kibaha, mkoani Pwani imetoa muda wa lala salama kwa kaya zaidi ya 130 zilizovamia shamba namba 34 ambalo ni mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mitamba kata ya Pangani. Halmashauri hiyo,…