JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Wagonjwa kipindupindu waongezeka Shinyanga, viongozi waweka mikakati

Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Wagonjwa wa kipindupindu wameongezeka mkoani Shinyanga kutoka wagonjwa watano na kufikia 18 baada ya wataalamu kufanya vipimo vya kuthibitisha kwa wagonjwa wa kuhara na kutapika 41 mkoani hapa. Hayo ameyasema leo Januari 9, 2024 Mkuu…

Rais Dk Mwinyi adhamiria kumaliza changamoto katika elimu

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inakaribia kumaliza ujenzi wa madarasa 5,000 kuondoa zamu mbili kwa wanafunzi nchi nzima na kubakisha zamu moja. Rais Mwinyi amesema leo Januari 9,2024 akifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari Tumekuja iliopo…

Meli za mizigo zaongezeka bandarini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kutokana na maboresho na mikakati inayofanywa na Serikali kumefanikisha kuongezeka maradufu kwa meli za mizigo katika bandari mbalimbali zilizopo nchini hususan katika Bandari ya Dar…

Tani 50,000 za sukari kuingia nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imeruhusu kuingizwa nchini kwa tani 50,000 za sukari kwa mwezi wa Januari na Februari kama njia ya kutatua tatizo la uhaba wa sukari nchini. Waziri wa Kilimo, Hussin Bashe amesema hayo na kueleza kuwa kiwango…

Waziri Saada: Serikali kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kazi kwa vikosi vya SMZ

Na Sabiha Khamis, Maelezo Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya kufanyia kazi vikosi vya SMZ ili  kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Akizungumza katika ufunguzi…