JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Vilio, simanzi vyatawala wakati wa kuaga mwili wa meneja TANROADS aliyefariki wakati akikimbia

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Vilio na simanzi vimetawala  leo wakati wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Meneja wa Wakala wa Barabara ( TANROADS ), Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima  Felix Ngaile( 55) aliyefariki jana wakati akikimbia. Marehenu alifariki ghafla jana Januari 12, 2024 baada ya kupata mshituko…

Utekelezaji wa ufugaji samaki kwa vizimba waanza ziwa Tanganyika

Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Rukwa Serikali imeanza utekelezaji wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba katika Ziwa Tanganyika baada ya mpango huo kuonesha mafanikio makubwa katika Ziwa Victoria. Akizungumza Januari 11, 2024 katika Mwalo wa Kasanga uliopo Wilaya ya Kalambo…

Meneja TANROAD Ruvuma afariki ghafla wakati akishiriki mbio za Km 5

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROAD) Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima Ngaile amefariki dunia leo asubuhi wakati akishiriki mbio za Wiloles Foundation Marathon 2024 yenye lengo la kuchangia matibabu ya watoto waliozaliwa kabla ya muda…

DC Katwale, Watetezi wa Mama wakumbuka wafungwa Gereza la Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato MKUU wa Wilaya ya Chato mkoani Geita kwa kushirikiana na Taasisi ya Mtetezi wa Mama wilaya hiyo,wametembelea gereza na kutoa msaada wa sabuni,mafuta na taulo za kike kwa wafungwa na mahabusu waliopo kwenye gereza la…

Migogoro ya ardhi Dodoma yampeleka Naibu Waziri Pinda uwandani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameingia uwandani kutatua na kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake ya migogoro ya ardhi katika jiji la Dodoma. Mhe Pinda katika ziara yake hiyo…