JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Pamba kulimwa Rufiji Pwani – RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Abubakar Kunenge amezindua mradi wa kilimo cha Pamba wilayani Rufiji utakaotekelezwa na Kampuni ya Rufiji Cotton Ltd ambapo pia amepokea matrekta na pikipiki zitazotumika kwenye mradi huo. Akizungumza na wananchi wa…

Daraja la Mwananchi Mwanza kukarabatiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mwanza Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor  Seff  ameagiza Daraja la Mwananchi lililopo Kata ya Mahina  jijini Mwanza kuanza kukarabatiwa mara moja kufuatia kuharibiwa na Mvua  zinazoendelea kunyesha jijini hapa….

Makamu wa Rais awasili Uswisi kushriki mkutano wa WEF

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 14 Januari 2024 amewasili nchini Uswisi ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa…

Chuo cha Hali ya Hewa chashauriwa kuanzisha shahada

ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar KATIBU Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara ametoa rai kwa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma (NMTC) kuanzisha Shahada ya Sayansi ya Hali ya Hewa (Bsc. in Meteorology) ili kumrahisishia mwanafunzi anayetaka kujiunga katika…

Mbio za uchaguzi mikoa, ACT Tanga wapata viongozi wapya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wakati mbio za Uchaguzi katika ngazi ya mkoa kichama kwa Chama Cha ACT Wazalendo, zikiwa zimezinduliwa jana kwa mikoa miwili ya Tanga na Morogoro kufanya uchaguzi, sura mpya zimejitokeza ndani ya nafasi mbalimbali za uongozi kwa…

Prof. Mkumbo Akabidhi nyenzo za utendajikazi Timu ya Dira 2050

Na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amekabidhi nyenzo za utendajikazi kwa Timu Kuu ya Wataalamu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikiwa ni nyaraka muhimu zitakazotumika…