JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Wananchi chukueni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ‘ Red eyes’

Na Mwandidhi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa…

Polisi yanasa silaha ya kivita, watuhumiwa wafariki kwa kurushiana risasi na Polisi

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambao umri wao haujafahamika wamefariki wakati wakisharushiana risasi na askari Polisi waliokuwa doria wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma ambapo inadaiwa walikuwa wakienda kufanya uharifu kijiji cha Msabula Kata ya…

UVCCM Dodoma yawaandaa vijana Uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma KATIBU wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Dodoma Mjini Isack Ngongi amewataka vijana kuungana kuhakikisha chama kinashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Ngongi ameyasema hayo leo…

Halmashauri Kuu CCM yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Bwawa la Umeme JHPP

Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imefanya kikao Maalum tarehe 15 Januari, 2024, Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Katibu Halmashauri Kuu ya…