JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Naibu Waziri wa Uchukuzi Kihenzile atembelea banda la TPA

Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA limeendelea kuwa kivutio kwa watembeleaji wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Zanzibar yanayoelekea ukingoni. Mbali na unadhifu wa Banda linalopambwa na picha kubwa za Bandari mbalimbali, kivutio kingine ni mifano…

Majaliwa : Sekta ya mawasiliano ni kichocheo cha maendeleo nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia IBARA 18 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa “Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli…

Wachezaji waliotemwa na kusajiliwa Simba

DIRISHA dogo la usajili limefungwa rasmi Januari 16, 2024 huku tukiwashuhudia vigogo Simba wakisajili mashine mpya na kuwaacha baadhi ya wachezaji wale wa kimataifa na kitaifa kwa maana ya wachezaji wa ndani. Simba ilifikisha idadi ya wachezaji 15 wakigeni jambo…

Kila la kheri Stars kesho

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinatarajia kushuka dimbani kuvaana na timu ya taifa ya Morocco kesho Januari 17, 2024 huko nchini Ivory Coast katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika {…

Shanga yatolewa katika mapafu ya mtoto Muhimbili kwa njia ya kamera, wazazi waaswa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na maskioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ikiwemo madhara ya kudumu na kifo. Kauli hiyo imetolewa na…

Kamishna Mabula afanya ukaguzi wa karakana ya kisasa Manyoni, atoa maelekezo

Na Mwandishi wetu, JakhuriMedia, Manyoni Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya magari na mitambo iliyojengwa Kanda ya Kati ya TAWA wilayani Manyoni, karakana inayotajwa…