JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Nchimbi aanza kazi kwa mambo matatu, apokelewa Zanzibar

*Atema cheche akionya makundi ya uchaguzi, asema ni mjinga tu hukoleza moto baada ya kupakua Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya wanaCCM wanaovunja taratibu za Chama kwa…

Viongozi mbalimbali washiriki mkutano wa nchi za Kundi la 77 nchini Uganda

Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na…

Waziri Mkuu ahudhuria mkutano wa NAM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki ufunguzi wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), katika ukumbi wa Ruwenzori, Kampala nchini Uganda, Januari 19, 2024. Waziri Mkuu amemuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan…

Tanzania, Iran zasaini makubaliano ya kuondoa utozaji kodi mara mbili

Na Scola Malinga, WF, Dar es Salaam Tanzania na Jamhuri ya Kiislam ya Iran zimesani makubaliano ya majadiliano ya Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili baada ya kufanyika kwa majadiliano ya kina kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamesaniwa Jijini…

Tanzania yajifunza maandalizi ya AFCON 2027 kutoka Ivory Coast

Na Brown Jonas – WUSM, Ivory Coast  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea Uwanja wa Mpira wa Miguu  wa Laurent Pokou uliopo jijini San Pedro nchini Ivory Coast ili kujifunza na kuona  namna ambavyo nchi…

Wizara ya Ardhi yapongezwa maboresho ya kanuni za madalali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imeipongeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Marekebisho ya Kanuni za Uteuzi, Malipo na Nidhamu kwa Madalali wa Baraza na Wasambaza Nyaraka za mwaka…