JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: January 2024

Bashungwa aagiza daraja la Nzali – Chamwino kujengwa haraka

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu…

NAM iendeleze ushirikiano katika masuala ya ulinzi – Majaliwa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wahakikishe wanashiriki katika kila tukio la umoja huo pamoja na kuendeleza ushirikiano katika masuala ya ulinzi na usalama pamoja na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi….

VETA, NIT waunganisha nguvu kuandaa walimu wa ufundi nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kupitia Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) wametia saini hati ya makubaliano na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuanzisha ushirikiano wa utoaji wa…

Serikali yaendelea kushusha gharama za uletaji mafuta kuleta ahueni kwa wananchi

📌Dkt. Biteko asema gharama ya mafuta ni nafuu kulinganisha na nchi jirani 📌Asema kampuni ya mafuta TANOIL inaboreshwa ili kuleta ufanisi 📌Asisitiza PBPA ni nguzo ya Serikali katika uhakika wa upatikanaji mafuta 📌PBPA yazidi kudhibiti upotevu wa mafuta Na Mwandishi…

Kocha Mkuu Taifa Stars afungiwa mechi nane

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche Amefungiwa Mechi nane na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kufuatia kauli zake alizozitoa kuwa Morocco ina ushawishi ndani ya CAF katika kupanga mechi pamoja…