Month: December 2023
RC Mndeme, Ma – Dc wawili watinga Hanang
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Hanang Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amekabidhi misaada ya kibinadamu ikiwemo vyakula, nguo na vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na wananchi wa Shinyanga kwa waathirika wa mafuriko ya tope yaliyoambatana na mawe kutoka mlima Hanang’…
Dk Biteko ashiriki Rombo Marathon, apongeza ubunifu wake
Apongeza nia ya Marathon kuhifadhi Mazingira, kuimarisha huduma za kijamii
Asema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi zinazoanzishwa na wananchi kujiletea maendeleo na kukuza Utalii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko…
WAMACU yajipanga kuwakomboa wakulima zao la mahindi 2024/2025
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Chama Kikuu cha Wakulima Mara Cooperative Union (WAMACU), kimewakumbuka wakulilima wa zao la mahindi hii ni kufatia kuwepo na soko duni la zao hilo ambalo ni moja ya mazao ya biashara yanayozalishwa Mkoani Mara ….
Nyumba 30 Majohe zabomolewa usiku, wakazi walala nje, Chalamila atoa agizo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameagiza kukamatwa kwa watu waliovunja makazi ya watu zaidi 30 nyakati za usiku eneo la Majoe Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam RC…
e-GA kuunganisha Taasisi za Umma Kidijitali
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao(e-GA)Mhandisi Benedict Ndomba amesema Mamlaka hiyo inaendeleakutekekeza agizo la Serikali la kuhakikisha mifumo ya TEHAMA katika Taasisi za umma zinasomana kwa kuuganishwa na kubadilishana taarifa kidijitali. Katika kutekeleza hilo amesema,Mamlaka imefanikiwa…
Balozi Polepole kushirikiana na JKCI kuboresha matibabu ya moyo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humphrey Polepole amesema kuwa atashirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuhakikisha Watanzania wanaendelea kupata huduma bora za matibabu ya moyo. Mhe. Balozi Polepole ameyasema hayo leo jijini…