JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2023

Vitendo vionekane mapambano afya ya akili

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Geita Maneno matupu hayavunji mfupa. Msemo huu hulenga kuihamasisha jamii kuchukua hatua sahihi za kiutendaji ili kufikia malengo kusudiwa badala ya kuzungumza sana pasipo utekelezaji wowote. Kwa muda mrefu jamii imekuwa na mtazamo wa shaka katika…

Rais Mwinyi aridhia uwanja wa Amaan kuitwa ‘ New Amaan Sports Complex’

Na Brown Jonas, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameridhia ushauri wa kuubadili jina uwanja wa Amaan na  kuitwa  “New Amaan Sports Complex” wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu…

Waganga wafawidhi Hospitali za Rufaa wawafagilia wauguzi Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala na Iringa wamewapongeza watoa huduma wa Hospitali ya Taifa Muhimbili hasa Wauguzi kutokana na huduma nzuri wanazotoa kwa wananchi wanaolazwa katika…

Dkt. Mollel: Wataalamu wa afya tengeni muda wa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Siha Wataalamu wa afya nchini wametakiwa kipindi wanachokuwa likizo kutenga muda wa kufanya utalii wa ndani ili kujionea vivutio mbambalimbali vilivyopo kwa kufanya hivyo kutasaidia kupumzisha akili zao. Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Naibu Waziri…

Wakunga, Wauguzi waliotahiniwa watakiwa kuripoti kwenye vituo vya mitihani

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania limewataka watahiniwa wa mtihani wa usajili na leseni kwa wakunga na wauguzi waliosajiliwa kuhakikisha wanafika kwenye vituo walivyoomba kufanyia mtihani kesho Desemba 28 mwaka huu kuanzia saa mbili asuhuhi bila kukosa…