Month: December 2023
Waziri Gwajima afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Benki ya TCB
Na WMJJWM- Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Adam Mihayo kwa lengo la kujadili fursa za maendeleo ya wananchi hasa…
Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival kukuza utalii Kilimanjaro
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Kilimanjaro Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na Wamaasai litasaidia kukuza utalii wa Mkoani…
Waziri Mavunde atembelea mradi wa Lindi Jumbo
Ujenzi wake wafikia zaidi ya asilimia 90 Kuanza uzalishaji mapema Machi, 2024 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Madini, Anthony Mavunde leo Desemba 28, 2023 ametembelea mradi wa Lindi Jumbo Limited uliopo Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi kwa…
Utekelezaji mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wafikia asilimia 94.78
Mashine mbili za Megawati 47O zimeshafungwa, majaribio yameanza Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt….