JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2023

Wafariki ikwa mafuriko mkoani Manyara wafikia 49, Naibu Waziri wa Afya atoa pole kwa majeruhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara NAIBU  Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiwa ameongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam kutoka Wizara ya Afya mapema leo Desemba…

Waziri Mhagama, Bashungwa wafikia kijijini Gendabi- Hanang kwenye maafa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, pamoja na Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wamefika katika kijiji cha Gendabi kata ya…

Mlima wa Moto wazindua kongamano la SHILO kumuenzi Rwakatare

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati Askofu Dk. Getrude Rwakatare. Uzinduzi wa kongamano hilo la siku…

Mafuriko Manyara, vifo vyafikia 47 watu 85 waokolewa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Juhudi za kuwaokoa watu waliokwama kwenye matope zimeendelea vijiji vya Katesh na Gendabi wilayani Hanang mkoani Manyara  baada ya mafuriko kuyakumba maeneo hayo na kusababisha vifo vya watu 47 na wengine 85 kujeruhiwa. Kwa mujibu…